wewe nn mwanaume?[emoji20][emoji20][emoji20]Kumezuka kamtindo ka wakinadada/mama siku hizi. Akishikwa bega tu wanakwenda shitaki kuwa amenyanyaswa kijinsia (ME TOO).
Watu wamefukuzwa kazi kwa tuhuma tu na wengine wamepoteza mali nyingi kulipa fidia.
Hii kitu (Samantha) sasa ndio kiboko yao. Watajipitisha pitisha karibu na wewe maofisini na mitaani lakini mijamaa wala haitawapatiliza.
Wanawake mjifunze kutongoza na kuhonga sasa. Tumewabadilishia kibao. Mxuuuu[emoji16][emoji16][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji6] [emoji6]
Mmmmhhakuna mwenye msambwanda kama miss natafuta??
[emoji23] [emoji23] hamna nimevuta taswira
SawaHabr njema kwa madomo zege
Kwan punyeto haimdhihaki Mungu?Huko ni kumdhuhaki mwenyezi Mungu. Na ww mwanaume kabla ya kufanya na huyo mdoli jiulize mara mbili
Vyote tuu jitathminiKwan punyeto haimdhihaki Mungu?
Wewe kuwa mpole tu muda utakuambia ukileta ujeuliNimejifurahia sijashtuka.. kwa kuwa nakiona kama kitu ambacho najiamini asilimia 100 hakiwezi kunichukulia nafasi yangu.. kamwe.
Hapana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm najua umeshakutana nalo
Alafu wewe hayaaa kwanza hilo bao linakuwaje[emoji23][emoji23][emoji23]
Upo vzr