Nazi tunayo wadada/wanawake

Kumezuka kamtindo ka wakinadada/mama siku hizi. Akishikwa bega tu wanakwenda shitaki kuwa amenyanyaswa kijinsia (ME TOO).

Watu wamefukuzwa kazi kwa tuhuma tu na wengine wamepoteza mali nyingi kulipa fidia.

Hii kitu (Samantha) sasa ndio kiboko yao. Watajipitisha pitisha karibu na wewe maofisini na mitaani lakini mijamaa wala haitawapatiliza.

Wanawake mjifunze kutongoza na kuhonga sasa. Tumewabadilishia kibao. Mxuuuu[emoji16][emoji16][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…