Nazi tunayo wadada/wanawake

Nazi tunayo wadada/wanawake

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,826
Reaction score
9,017
Wakuu heshima kwenu, tunakumbushana tu wadada/wanawake tu play part zetu Kwa waume zetu 99.9% ili wasijehamia Kwa Samantha maana keshaingia bongo na waume zetu washaanza kumnunua, naskia anajoto balaa

Innalillah wainna illahi rajiun, bora akachepuke kuliko kumchukua Samantha
e38898959eed29f44aa925cafecc8fff.jpg
9eb99477b117b1aa665ffff8f458941f.jpg
 
Sasa huo mdoli si unakuwa unauchafua halaf unauosha mwnyw mwanaume?!

Mfano nmepiga lile bao la jela si balaa tupu hapo
 
Back
Top Bottom