Habari wana JF.
Natumaini mu wazima wa afya.
Kama kuna mtu anawafahama watu wanaouza nazi mikoa ya kusini, naomba aniunganishe nao tafadhali. Kuna mtu anahitaji kufanya biashara kwa kutoa nazi huko na kusafirisha.
Nazi elfu20 sio nyingi kihivyo, zikishafuliwa zinakaa Kwenye Fuso moja tu. Na bei ni ya shambani kabisa, Mbona inawezekana tu kuwa oda ya mara moja hizo
Nazi elfu20 sio nyingi kihivyo, zikishafuliwa zinakaa Kwenye Fuso moja tu. Na bei ni ya shambani kabisa, Mbona inawezekana tu kuwa oda ya mara moja hizo