Heshima mbele
Nimeona mara nyingi nikitumiwa e mail kutoka kwa jamaa mmoja imekuwa napicha yake inaonekana ukififungua hiyo e mail yake
je, nikitaka na mimi kuweka ili picha yangu iwe inaonekana kwa wale ninao watumia e mail nifanyanje?
kwa anae jua msaada pls
NB
Na hisi wapo watakao nishauri nimuulize huyo ambae akinitumia naona picha yake
mhusika amefariki.