Kuwapata wezi wa simu ni rahisi kama uliiregister kwenye Web ya Mtengenezaji.Habari wana jf
Kuna rafiki yangu ameibiwa simu mbili 1.Techno 2.iPhone 4
Amejaribu kwenda Polisi lakini hajapewa ushirikiano wa kutosha hivyo aliitaji ushauri kutoka kwangu jinsi ya kuweza kuwapata wezi maana hiyo Simu ya techno bado inaonekana Whatsap iko online lakini iPhone ndio ipo offline.
Wakuu naombeni ushauri
Kuwapata wezi wa simu ni rahisi kama uliiregister kwenye Web ya Mtengenezaji.
Ikiibiwa unaweza kuingia kwenye Internet ya kwa Password utakayopewa, na uwaeza kuiona mpaka nyumba iliyo kama mtu anaitumia
Mfano techno unairegister hukuhuko nje zilipotengenezwa?
Kama ana apple id na alikuwa amewasha find my iphone basi iphone anaweza kuipata au kuiharibu isitumike
Mie nliibiwa samsung s 4 mwezi uliopita,nikaenda kuripot police angalau wanipatie barua niipeleke kwenye kampuni za sim ambapo lini yangu ilikua inatumika kwenye iyo s 4,Habari wana jf
Kuna rafiki yangu ameibiwa simu mbili 1.Techno 2.iPhone 4
Amejaribu kwenda Polisi lakini hajapewa ushirikiano wa kutosha hivyo aliitaji ushauri kutoka kwangu jinsi ya kuweza kuwapata wezi maana hiyo Sim ya techno bado inaonekana Whatsap iko online lakini iPhoe ndio ipo offline.
Wakuu naombeni ushauri
Mkuu jaribu na kwa waganga
Kivipi????
Kama simu imewashwa find my iphone una apple id cha kufanya unalog in kwenye PC ama kwa iphone nyingine ambayo ina find my iphone app, ukichafanya ivo utaona option tofauti tofauti we bofya find my iphone then utaona unaonyeshwa location ilipo simu yako kwa map, na pia pale unatao kunasehemu za kuchagua ama kuilock huko iliko ama kufuta kila kitu kilichomo kwenye simu ama kuideactive isifanye kazi kabisa inakuwa kama kopo tu kwa aliyeiba
Hizo data kwani siwezi nikazihamishia simu ingine?
Unaweza ila hiyo simu nyingine iwe iphone, unaweka id yako afu unaenda sehemu ya storage&back up my iphone kwenye iclouds