Nawezaje Kuuza Hisa Zangu

Amoflo

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
207
13
Habari Za Leo? Kama nataka Kuuza Hisa Zangu nilizonunua maendeleo bank utaratibu uwa inakuwaje ? Na ninaenda kuuzia wapi? Hisa zipo registered Dar Es salaam stock exchange (DSE)
 
Kwani ulizinunua wapi? Anyway nenda pale ppf tower posta kuna broker yupo pale simkumbuki vizuri atakusaidia. Ila sijui kama hiyo benki hisa zipo active. Unaweza shangaa zikapata mteja mwezi wa nane.. Hatari sana masoko yetu ya fedha unaweza pata stress..
 
Back
Top Bottom