Hii system ya kuandika thread kama vile unaleta tips au Hints then ukifungua Heading iko differ na contents nini maana yake umeshindwa kuweka question mark at the end...dah kwa hio mistake napuuzia hii thread na kutotoa maelezo yoyote.
Hamna kitu kama hicho, Tafuta kazi wewe
Hilo suala lako halipo ndugu!?
mhh! wa tz tunapenda vya bure!
mi napita tu byeiiiiiiiii!
Hii system ya kuandika thread kama vile unaleta tips au Hints then ukifungua Heading iko differ na contents nini maana yake umeshindwa kuweka question mark at the end...dah kwa hio mistake napuuzia hii thread na kutotoa maelezo yoyote.
kama unatumia mtandao wa tigo, kwa kupitia Internet.org Unaweza kupata free access ya mtandao mbalimbali kama Jamii forum, gazeti la mwananchi, zoom tanzania, BBC swahili, na mengine mingi.
Kwa kupitia simu yako ya tigo ingia hapa
Internet.org by Facebook
mkuu nimejaribu kuicheki hii app Play store sijafanikiwa kuipata.
Naomba msaada wako zaidi.
Hii system ya kuandika thread kama vile unaleta tips au Hints then ukifungua Heading iko differ na contents nini maana yake umeshindwa kuweka question mark at the end...dah kwa hio mistake napuuzia hii thread na kutotoa maelezo yoyote.
mkuu nimejaribu kuicheki hii app Play store sijafanikiwa kuipata.
Naomba msaada wako zaidi.
mkuu nimejaribu kuicheki hii app Play store sijafanikiwa kuipata.
Naomba msaada wako zaidi.
No data no right to speak.Heshima kwenu wakuu, kuna taarifa kwanza kampuni ya mawasiliano ya Tigo Tanzania imeingia mkataba na Jamii Forums ili kuwawezesha watumiaji kuingia Jf bila makato ya ada kwa mteja wa Tigo.Naomba kufahamishwa namna ya kuingia Jf bila data.Nashukuru.