Nawezaje kutumia FAX

Nawezaje kutumia FAX

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,136
Reaction score
3,074
hABAR WADAU

Fax ndio kitu gan na nawezaje kikitumia apa ofisin kuna orinter kubwa ina fax ndan yake ila hiki kitu ni kigen sana kwangu nimeiconnect na ethernet cable from zuku fiber sasa nimebaki na vitu viwili hio ethernet cable ilioenda kwenye printer itasaidia nini na nn

kushare printer pitia ethernet cable sijui

FAX sijui afu ofsi yote inanitegemea mm naomben msaada

iR10xx_200_tcm13-555504.jpg

Canon iR 1024iF​

FAX utegemea public line number mfano ttcl landline number kuna port maalumu inaingia kisha kuna setting za kufanya ndani ya fax machine ili kuweza kutuma na kupokea ila kwa sasa huduma ya fax technology yake aitumiki sana ila kama una sababu ya kutaka kutumia fax omba namba kisha soma namna ya kuifanyia configuration ili uweze tuma na kupokea ujumbe
 
network cable inaingia port yake ni pana RJ45 na fax port yake ni kama ya simu ya mezani nyembamba kidogo RJ11.

network inakusaidia mkiwa kwenye sama LAN muweze kuprint au scanning kila mmoja kivyake vyake

fax ni kupokea au kutuma ujumbe uliokuwa scanned kwenda sehemu nyingine jambo ambalo email imefanya fax kutokuwa na umuhimu sana maana wakati zamani fax zikitumia internet ilikuwa haijasambaa sana hasa kutuma mikoani na wilayani.
 
mashukuru sn umem=nitoa ushamba FAX nimekuelewa vzr ngoja nitaenda TTCL

io kushare printer kupitia LAN bado chenga
 
Back
Top Bottom