zote ni low end mediatek-plastic smartphones, kuhusu charge hapoi zote lazima uchaji mara 3 kwa siku kama you r heavy-user. ila nakushauri y330 over h5,
kwenye department ya camera na battery na durability hiyo y330 iko vizuri zaidi.
ila ukisoma specs, h5 ina camera ya mp5 na y330 ina 3.5, na battery ya h5 ni 1800mAh na ya y330 ni 1500mAh
Kwa anayejua bei ya hizi simu tafadhali,,, Huawei y550,,, Na HTC Disere 510,,,
Mkuu secret service na mm nataka nichukue iphone 6 plus au galaxy note 4 naomba ushauri kaka
duh, huko vizuri. hizo ni high-end phablets, yoyote nunua tu, ukipenda iOS nunua iPhone na ukipenda Android nunua Note 4, hayo madude level za juu kidogo.
Advice kuhusu Note 4 coz napendelea Android...technically.
Please.
Mkuu lovely nimezitumia zote. camera ya h5 haina true color, yaani picha zake ni kama zipo zimeng'arishwa hivi while y330 kidogo kama vile inauhalisia. ila h5 ina advantage coz ina 0.3MP front camera
wakati y330 haina camera ya mbele. chukua y330 all I can shauri.
Asante mkuu nitafanya hivyo. hofu yangu hasa japo gharama zake si kubwa ila naogopa kubeba kimeo.
Kumbe huawei zipo feki pia, lol! itabidi niwe makini sana.