Nawezaje kutambua kuwa mke wangu kanipa limbwata.?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,046
10,478
Ndugu, jamaa na marafiki wanasema nimebadilika sana sio Mimi waliyekuwa wamenizoea wasi wasi wao ni kwamba kuna kitu nimefanyiwa ila mimi naona nipo okay..
 
mpka hapo hujapewa limbwata...
.
ungepewa libwata ungkua hujitambui, ayo maneon wanayoqambia kua hujitambui usingkua unayaelewa kiasi cha kuja kuomba ushauri apa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la ndugu au watu wa karibu ni kuwa ukipata kazi mwanzon unapokuwa uko mwenyewe, Baadae ukianza maisha ya familia kwa mshahara ule ule wanataka uendelee kuwapa tu, kaka Focus na familia yako.
 
Back
Top Bottom