Huwezi rekwbisha tatizo ikiwa hujui chanzo ni nini.Habari wana jamii Forum
Mimi bado najifunza coding sijaiva sana wala sio mtupu nimejifunza vitu vingi sana katika coding na nashukuru mungu mambo yanaenda vizuri sasa katika kujifunza nikaona itakuwa vyema km nikianza kudownload code za watu na kuzipitia ili niwe na ufahamu mpana zaidi maana sioni km kuna sababu mtu kuandika code zote mwenyewe unaweza kusoma kazi za watu na kucopy baadhi ya vitu kisha wewe unaoendeleza
Sasa katika kudownload code za watu nimekuta source code zina folders
View attachment 1989305
View attachment 1989306
Sasa apa nikawa nimebaki naduwaa je main code ipo wapi ? Apa namaanisha code kuu ambayo nikiirun nitapata output ya whole Project maana nikiexplore humo ndani code ni nyingi mno
Hata nilipojaribu kurun baadhi nilipata errors tu najua wengi mnajua huko Github code zipo kibao tu cha msingi ni kujua kuzisoma na kuzirun ili kuongeza maarifa
View attachment 1989307
View attachment 1989308
View attachment 1989309
Ni kweli kabisa bro unachokisema inabid twende hatua kwa hatua lakini pia tambua kuna baadh ya situation ina kulazimu tu udandie mbele vengine vitakuja vyenyeweHuwezi rekwbisha tatizo ikiwa hujui chanzo ni nini.
Hata baada ya kujua chanzo inakipaaa ujue kuwa je njia hiyo hainaadhara au haitaleta usumbufu sehemu nyingine?
Kifupi ni kwamba madhara ya kusoma programming bila uelekeo maalum ni tatizo kubwa sana linalosumbua watu wengi
Mtu anaweza anza na ayntax za programming wakati akiaha hiai kuwa ameelezwa anaanza kurukia macode ya watu bila kujua yanaweza kumsaidia vipi kibaya zaidi wengi hata documentation au hata short description ya kufanya installation hawaisomi wanadhani ni mapambo bro una safari ndefu.
Soma maelekezo ya code unazotumia
Huko ulidownload iyo program Hakuna documentation inayoelezea jinsi ya kui run?Habari wana jamii Forum
Mimi bado najifunza coding sijaiva sana wala sio mtupu nimejifunza vitu vingi sana katika coding na nashukuru mungu mambo yanaenda vizuri sasa katika kujifunza nikaona itakuwa vyema km nikianza kudownload code za watu na kuzipitia ili niwe na ufahamu mpana zaidi maana sioni km kuna sababu mtu kuandika code zote mwenyewe unaweza kusoma kazi za watu na kucopy baadhi ya vitu kisha wewe unaoendeleza
Sasa katika kudownload code za watu nimekuta source code zina folders
View attachment 1989305
View attachment 1989306
Sasa apa nikawa nimebaki naduwaa je main code ipo wapi ? Apa namaanisha code kuu ambayo nikiirun nitapata output ya whole Project maana nikiexplore humo ndani code ni nyingi mno
Hata nilipojaribu kurun baadhi nilipata errors tu najua wengi mnajua huko Github code zipo kibao tu cha msingi ni kujua kuzisoma na kuzirun ili kuongeza maarifa
View attachment 1989307
View attachment 1989308
View attachment 1989309
Ni kweli kabisa bro unachokisema inabid twende hatua kwa hatua lakini pia tambua kuna baadh ya situation ina kulazimu tu udandie mbele vengine vitakuja vyenyewe
nikifungua izo folder umo kuna picha code kibao mafile ni mengi mno na ndio maana kuna uzi huko nimefungua kuuliza kama kuna ulazima kwa developer kujua kila component na kazi zake
BRO MM SALI LANGU NI MOJA TU MAIN CODE IPO WAPI INAWEZA KUWA WAPI KATIKA IO PROGRAM
Nimetafuta hakunaSoma documentation yake
Ipige chini haina maanaNimetafuta hakuna
Umeandika maelezo mengi halafu hayana msaada kwa mshikaji.Huwezi rekwbisha tatizo ikiwa hujui chanzo ni nini.
Hata baada ya kujua chanzo inakipaaa ujue kuwa je njia hiyo hainaadhara au haitaleta usumbufu sehemu nyingine?
Kifupi ni kwamba madhara ya kusoma programming bila uelekeo maalum ni tatizo kubwa sana linalosumbua watu wengi
Mtu anaweza anza na ayntax za programming wakati akiaha hiai kuwa ameelezwa anaanza kurukia macode ya watu bila kujua yanaweza kumsaidia vipi kibaya zaidi wengi hata documentation au hata short description ya kufanya installation hawaisomi wanadhani ni mapambo bro una safari ndefu.
Soma maelekezo ya code unazotumia
Umeandika maelezo mengi halafu hayana msaada kwa mshikaji.
Halafu umekosea kosea sana.
Vb.netNimeshindwa kuona hizo screenshots
Unatumia Language gani, Framework gani, na IDE gani?
Kama ume chukua open source program, namna pekee ya kuielewa ni kusoma README file ambalo linakua ndani ya Parent directory
Kama hakuna documentation ya namna yoyote achana nayo
Pia check version ya Language au dependencies ziliyotumika kama zipo compatible na your current working environment