God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
eti pale UDOM wanatoa hiyo higher diploma kwa sisi tuliomaliza form six au ni wapi wanapoitoa pengine msaada..Advanced diploma in clinical medicine(AMO) inatolewa kwa Clinical officers tu.
...Na wenye job experience isiyopungua miaka mitatu kazini.
....Kama bado una ndoto za kusoma AMO anza kwanza na ordinary diploma ya clinical medicine hujachelewa..
Then utafanya AMO mbele ya safari.
eti pale UDOM wanatoa hiyo higher diploma kwa sisi tuliomaliza form six au ni wapi wanapoitoa pengine msaada..
C.Os ndio nin maana..?Wewe bwana mdogo utaweza kweli kuwa med personnel?
Ameshakwambia hiyo inatolewa kwa C.Os tu lakini bado unamuuliza wakati wewe ni form six
Clinical officer ni diploma ya Medicine wanasoma watu wenye PCB na inachukua miaka mitatu...C.Os ndio nin maana..?
basi naomba unijuze hiyo advanced diploma wanasoma watu wenye vigezo gani kiongozi...mim ni wa arts HKL sio sayans
kwa sisi wa arts tuliomaliza form six pia tunafanyaje kuweza kuisoma advanced diploma?Clinical officer ni diploma ya Medicine wanasoma watu wenye PCB na inachukua miaka mitatu...
Ni course ngumu kidogo ila ukibahatika kuimaliza unakula mema ya nchi.
Narudia tena....Form six hawezi kusoma AMO
iyo odinary diploma in clinical oficer inachukua mda.gani mkuu na ni shingap na ni vyuo gani vya serikar unaweza pata PCB kapat EEE mwak huu anaomba msaadaAdvanced diploma in clinical medicine(AMO) inatolewa kwa Clinical officers tu.
...Na wenye job experience isiyopungua miaka mitatu kazini.
....Kama bado una ndoto za kusoma AMO anza kwanza na ordinary diploma ya clinical medicine hujachelewa..
Then utafanya AMO mbele ya safari.
kwaio sis ni tunaanza ordinary diplomaAdvance diploma kwanza lazima uwe na ordinary diploma ...... h uwezi kusoma advance diploma wakati ndio kwanza umemaliza sekondari yako form six
..dah.,dogo unatania au uko seriousC.Os ndio nin maana..?
basi naomba unijuze hiyo advanced diploma wanasoma watu wenye vigezo gani kiongozi...mim ni wa arts HKL sio sayans
nipo serious nitanie nin..dah.,dogo unatania au uko serious
Habari za asubuhi wakuu.
Sina uelewa kuhusu points zinazohitajika kusoma kozi za afya kwa wanaotokea form six.
Naombeni mnieleweshe hapa, nina rafiki yangu kamaliza form six anataka asome higher dilpma kwa kozi za afya.
Naombeni pia mnijuze ni vyuo gani vinatoa hio level ili huyu ndugu afanye utaratibu wa kusoma.
Ninafahamu AMO (assistant medical officer) inatolewa katika level ya higher diploma. Je bado ipo?
Inachukua mda gani kusoma?
Ni kweli hiki cheo cha AMO kimefutwa?, nilisikia fununu ila sina uhakika.
Pia naomba mniambie kozi nyingine za afya zinazotolewa katika hiyo level ya higher diploma tuchakarike tuzipiganie fursa kabla umri haujamtupa mkono huyu ndugu.
Na kwa kweli anapenda sana kozi za afya ila kinachomshinda TCU ni ushindani so anaamin huko higher diploma anaweza kufika mbali.
Naombeni msaada jamani kabla siku hazijaisha.
pamoja mkuu ila naskia hii advanced diploma itafutwa sababu haitambuliki kimataifa?Advance diploma ni sawa na bachelor degree kama ilivyo ordinary diploma na form 6 ,hivyo ukisoma advance diploma na ukitaka kuendelea unasoma masters na mara nyingi advance diploma wanasoma wenye ordinary diploma .
MKUU HAKUNA ADV. DIPLOMA TENA NI CERTIFICATE, DIPLOMA NA DEGREE TUHabari za asubuhi wakuu.