Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,258
- 2,983
Na kweli hujui aise!!! MC ndiyo nini? I bet you meant Microsoft (MS). i.e. MS word, MS excel (Microsoft Office documents in general).Wajuzi kwema!
Nahitaji kujua jinsi ya kushare au kutuma kaz zangu ninazochapa kwa kutumia mfano MC word,MC Excel kwenda kwenye internet, ili watu wengine wakigugo wanazikuta kazi zangu hizo.
unataka kumtumia mtu au watu wako wachache au unataka kushare na dunia nzima hizo document zako?
itabidi utengeneze website, na hizo document uzieke kama maneno ya page ili zionekane google. mfano kama huuDUNIA NZIMA, na ndo maana nimesema "watu wakigugo,waweze kuona documents zangu nilizo-share"
mkuu lengo lako ni nini? labda tuanze hapo, zipo njia kibaoDuh! hamna namna nyingine za kushare?
Mfano kwa kutumia settings za Pc au kuset programs za Ms word na Ms excel.
cc
Chief-Mkwawa
hata ukizi upload hapa jamiiforums inatosha zitaonekana kwenye search engineLengo ni kuonekana kwenye search engines.
Wajuzi kwema!
Nahitaji kujua jinsi ya kushare au kutuma kaz zangu ninazochapa kwa kutumia mfano MS word,MS Excel kwenda kwenye internet, ili watu wengine wakigugo wanazikuta kazi zangu hizo.