Sio kweli....Piga maziwa mkuu.
Umenena vyema... Ila hata akifata recommendations still effects zipo pale pale though ni taratibu sanaAcha kudanganyika.
Mwili wa binadamu hauwezi kuishi na sumu mwili, kama ni elite rejea elimu yako ya Biolojia mada ya "Excretion".
Kazi ya Ini, Figo, Ngozi, Kinyeo, ni kutoa taka mwili zikiwemo kemikali na sumu mbali mbali kama Ammonia.
Kama ulikua na tabia ya kunywa Energy drink jua zilishaondolewa kwenye mwili wako na hazipo tena, na kama zimeacha damage basi itaji reverse sababu umeacha kutumia vinywaji hivo, pia usitishwe na chapisho la "Case Study" ya mgonjwa mmoja ambae alikua ana Abuse Energy drinks kwa kunya mpaka chupa tano kwa siku.
Fata recommendations siku zote zinazotolewa na bidhaa yoyote, kama ushaambiwa usizidishe Chupa Mbili kwa siku za azam energy, basi tii matakwa ya watengenezaji.
Na hii kanuni inaendelea kutumika kwa Sigara na Pombe vyote huwa vina Onyo na ni juu yako wewe kufata au kutofauta ila wao au bidhaa zao hazitokua za kulaumiwa.
Nkutakie kazi njema.
Maji yanaweza saidia piaPiga maziwa mkuu.
Basi anywe konyagiSio kweli....
😂😂Basi anywe konyagi
Kwa nini uache kinywaji pendwa.Habari! Wakuu naomba kujuzwa au kufahamishwa. Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti mfano Azam energy (ya chupa na ile ya can), mo energy, monster, redbull, jembe etc.
Nina siku ya 4 leo toka nimeanza zoezi la kuacha kunywa vinywaji hivyo pendwa. Ninachoomba ni kuelekezwa namna yoyoye ya kuondoa zile sumu ambazo tayari zilishaingia mwilini mwangu.
Natakiwa nifanyaje?
Nakaza hapa📌Acha kudanganyika.
Mwili wa binadamu hauwezi kuishi na sumu mwili, kama ni elite rejea elimu yako ya Biolojia mada ya "Excretion".
Kazi ya Ini, Figo, Ngozi, Kinyeo, ni kutoa taka mwili zikiwemo kemikali na sumu mbali mbali kama Ammonia.
Kama ulikua na tabia ya kunywa Energy drink jua zilishaondolewa kwenye mwili wako na hazipo tena, na kama zimeacha damage basi itaji reverse sababu umeacha kutumia vinywaji hivo, pia usitishwe na chapisho la "Case Study" ya mgonjwa mmoja ambae alikua ana Abuse Energy drinks kwa kunya mpaka chupa tano kwa siku.
Fata recommendations siku zote zinazotolewa na bidhaa yoyote, kama ushaambiwa usizidishe Chupa Mbili kwa siku za azam energy, basi tii matakwa ya watengenezaji.
Na hii kanuni inaendelea kutumika kwa Sigara na Pombe vyote huwa vina Onyo na ni juu yako wewe kufata au kutofauta ila wao au bidhaa zao hazitokua za kulaumiwa.
Nkutakie kazi njema.
Nchi ina wajinga wengi hii sijawah ona...
Kwahiyo mkuu unaamini Energy drink ni sumu na inajikusanya mwilini?
Hata kunywa moja unakunywa kila siku ili iweje? mwili unakua hauna nguvu ama inakuaje?Hivi mtu anakunywaje Energy drink zaidi ya moja aiseee me nimeshindwa hilo zoezi ujue.
Maziwa sio dawaPiga maziwa mkuu.
Addiction ukizoea moja utataka mbili ukizoea 2 utataka 3 ukizoea 3 utataka 4 n so forth kwa hio chanzo ni addictionSijajua kwa nini mtu anywe energy drink kila siku
Sumu ya PanyaEnergy drinks nk ni sumu za kuua taratibu watu weusi. Slow killing poisons.
Hiyo ni tiba ya kifuaKunywa Sana mchanganyiko wa MCHAI CHAI na TANGAWIZI MBICHI KALI.
Utakojoa kojoa Sana,
Na ndo sumu zinatoka hivo