Ananias Salvatory
Member
- Jul 25, 2016
- 24
- 13
Utaratibu wa kupitisha kitabu kuwa cha kiada katika shule ukoje? Naomba mwongozo tafadhali
Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
Hapo sasa ndo sijui uhakiki naweza kuwapelekea watu gani ili baadae niende wizara ya elimu ndg yanguKama kimefanyiwa uhakiki nenda Taasisi ya Elimu upate ithibati na maelekezo zaidi.
Kitabu ili kipate ithibati ni lazima kipitiwe na bodi ya uhakiki(kuna gharama zake) ili kuondoa makosa kadha wa kadha na kukifanya kiwe bora zaidi tayar kwa matumizi. Kama ni kwa somo la Kiswahili fika Dar kisha nenda TATAKI watakupa mwongozo kuhusu UHAKIKI na kwa masomo mengine pia.Hapo sasa ndo sijui uhakiki naweza kuwapelekea watu gani ili baadae niende wizara ya elimu ndg yangu
Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app