Nawezaje kupate genuine windows online???msaada


commited

commited

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
1,618
Likes
17
Points
135
Age
28
commited

commited

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
1,618 17 135
wadau

ndugu zangu niko na pc yangu kwa mwaka sasa (toshiba, satellite-850c) ni imekuwa haina shida kabisa, sasa kuanzia juzi imekuwa kila nikiiwasha kabla yakulog in inaniletea ujumbe katika screen kuwa windows 7 yangu ni copy siyo genuine haijapitia baadhi ya hatua za kiufundi, na pia huo ujumbe huwa unakuwa na eneo kasehemu kanakosema niclick ili niiaupdate, lakini nikiufuata hicho kioption kinaleta vitu ambavyo havisolve tataizo

naombeni wadau kwa anayejua jinsi gani naweza kufanya ili nisolve hili tataizo anisaidie

karibuni
 

Forum statistics

Threads 1,237,547
Members 475,552
Posts 29,292,798