omaey ashiru
Member
- Dec 8, 2020
- 42
- 33
Cwez kuifuta na nikiinstall youtube inagomaUnaweza kugoogle na kuweka YouTube nyingine achana na hiyo ya playstore kama inazingua
Huwezi kuifuta labda kama umeroot cm yako ndio unaweza kuifuta tafuta Google zipo hadi ambayo haina matangazo YouTube vancedCwez kuifuta na nikiinstall youtube inagoma
Dah afadhali na wewe umeleta hili swala hapa manake nilishawahi kupost mahali fulani wakaishia kusema et oo simu yangu uwezo mdogo na vitu kama hivyo, sasa leo ndio nitajua shida nini!Habari wanajamvi, nataka kujua jinsi ya kupata youtube simu yangu inatumia "youtube go" na nikidownload youtube nyngne inagoma kudownload sasa naomba mnisaidieView attachment 1685970View attachment 1685971
Hiyo restriction ni official? Na imewekwa na google wenyewe manake ukiwa playstore hao ndio wanasema et ohh "you can try another version" ambayo ndio youtube go, *** them google! Au imewekwa na tecno na hao nfinix wenu?YouTube go imetengenezwa kwaajili ya simu zenye ram ndogo mfano 1gb na siyo mahususi kwa simu za Tecno na infinix YouTube ya kawaida ukiwa na ram ndogo simu inakuwa nzito na kujaa mapema
Japo hazina utofauti mkubwa.Habari wanajamvi, nataka kujua jinsi ya kupata youtube simu yangu inatumia "youtube go" na nikidownload youtube nyngne inagoma kudownload sasa naomba mnisaidieView attachment 1685970View attachment 1685971
Google inanipeleka playstore na nikiinstall Bado inagomaJapo hazina utofauti mkubwa.
Lakini ukitaka kufuta YouTube Go huwezi cha kufanya ingia kwenye senting ya simu bonyeza hilo faili kunasehemu pameandikwa Disable bonyeza hapo harafu rudi.
Hapo utakuwa kama umefuta theni ingia kwenye duka la Google au duka la Matumizi hapo unaweza kupakua YouTube ya kawaida.