Nawezaje kupata VPN bila kuwa na App?

Nawezaje kupata VPN bila kuwa na App?

Bwanamaya

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
79
Reaction score
118
Wakuu salam,

Samahani hivi inawezekana kuwa VPN bila kuwa na app? Maana kwenye simu kuna ile sehemu ya ku add vpn yaani ile alama ya +, tafadhali naomba mwongozo.

Asanteni sana
 
Haiwezekani kutumia vpn bila app, hiyo unayoizungumzia ni app ya vpn inayokuja na simu.

Unaweza kuitumia built-in vpn kama una ip address ya vpn server.
Hii ni address ya vpn ya bure unaweza kuitumia kwenye hiyo app.
219.100.37.5

Jinsi ya kufanya setting.
Ukibonyeza alama ya kujumlisha itakuja page ya kujaza taarifa za vpn.

1. Name : jina lolote la vpn
2. Type: chagua L2TP/IPsec PSK. Ni aina ya vpn connection.
3.Server addresa: 219.100.37.5
Zipo l2tp server nyingi za bure kwenye hii link Free VPN for You - Private free VPN-servers (L2TP/IPsec)
Unaweza zijaribu iwapo server nilipost ipo slow.
4. L2tp secret : usijaze kitu.
5. Ipsec identifier:usijaze kitu
6.ipsec pre shared key : vpn
7. Username:vpn
8.password;vpn

Kisha bonyeza save
Vpn hii itatokea kwenye list ya vpn apps zilizopo kwenye simu.

Kuunganisha na vpn server bonyeza hiyo vpn kisha chagua connect.
 
Unaweza kuitumia built-in vpn kama una ip address ya vpn server. Hii ni address ya vpn ya bure unaweza kuitumia kwenye hiyo App...
Thanks man, [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Haiwezekani kutumia vpn bila app, hiyo unayoizungumzia ni app ya vpn inayokuja na simu.

Unaweza kuitumia built-in vpn kama una ip address ya vpn server.
Hii ni address ya vpn ya bure unaweza kuitumia kwenye hiyo app.
219.100.37.5

Jinsi ya kufanya setting.
Ukibonyeza alama ya kujumlisha itakuja page ya kujaza taarifa za vpn.

1. Name : jina lolote la vpn
2. Type: chagua L2TP/IPsec PSK. Ni aina ya vpn connection.
3.Server addresa: 219.100.37.5
Zipo l2tp server nyingi za bure kwenye hii link Free VPN for You - Private free VPN-servers (L2TP/IPsec)
Unaweza zijaribu iwapo server nilipost ipo slow.
4. L2tp secret : usijaze kitu.
5. Ipsec identifier:usijaze kitu
6.ipsec pre shared key : vpn
7. Username:vpn
8.password;vpn

Kisha bonyeza save
Vpn hii itatokea kwenye list ya vpn apps zilizopo kwenye simu.

Kuunganisha na vpn server bonyeza hiyo vpn kisha chagua connect.
dah!mii nimeidownload nord vpn
ila nimeshindwa kuiconnect kwenye pc,nielekeze mkuu
 
Najaribu kuweka hii kwenye kiji iPhone changu inakataaaa, msaada wako mkuu
 
Back
Top Bottom