Nawezaje kupata supplier wa nguo China

calmz

Member
Jul 9, 2021
8
7
Wakuu msaada kidogo, Niko na plan ya kufungua BIASHARA yaangu ya nguo but kitu nakwama ni jinsi ya kupata supplier china.

KWA EXPERIENCED NAOMBA MSAADA KIDOGO HAPA
 
Ni Pm nikupe direction kiongoz
 
Kama unamtaji nenda ghanghzou mwenyewe kutembea kule kuna waafrica unamlipa dola mia anaakuonesha masapplier wa kutosha.bongo kubaniana na kukulanaa cha juu wanaaokuita wanakulengesha kwa washjaji zao wakule percent utachelewa shaati la dola 3 utaanunua 5 .ukienda kule utagundua mwenyewe na kuna watanzania kibao kazi yao kukuonesha machimbo tu
 
Tumia www.alibaba.com, fungua akaunti, tafuta nguo unazohitaji kutoka kwa verified suppliers au wale wenye nembo ya gold. Lipa kwa PayPal. Tuma mzigo kupitia Silent Ocean Ltd.
 
Kama unamtaji nenda ghanghzou mwenyewe kutembea kule kuna waafrica unamlipa dola mia anaakuonesha masapplier wa kutosha.bongo kubaniana na kukulanaa cha juu wanaaokuita wanakulengesha kwa washjaji zao wakule percent utachelewa shaati la dola 3 utaanunua 5 .ukienda kule utagundua mwenyewe na kuna watanzania kibao kazi yao kukuonesha machimbo tu
Nauli to Ghangzou na return bei gan
 
Back
Top Bottom