Ninachikona haujawa na uhakika asilimia 100% wa skendo ulizozisikia kwa yule mama kisha ukaanza kuzifatilia ,kuwa na marafiki wa kiume au wa kike it is just an interest,she is interested much with male friends, na usimhukumu kwa hilo ,mfatilie kwa ukaribu,but maamuzi ya kumwacha sio sahihi.utaishia kupwiyanga no body is perfect.Ndugu zangu natumai mu wazima,
Nimekua kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati , yani real love
Nimekua nae yeye peke yake tu yani kipondi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka,
Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kua nampenda sana na niko nae yeye pekee,
Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya,
Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti inaonekana kampani yake kubwa ni wanaume, nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakua hawana majungu kama wanawake,
Binti mwenyewe yuko kwa wazazo wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics
Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha,
Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda,
Nataka kumuacha kwakua nimehisi atanisumbua na stress siki za usoni,
Maana.kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo maona sitaiweza kwakweli,
Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa
Ni njia gani watu hufanya ili kumiacha mtu ingali bado unmpenda?
Maana kuna mda najitahidi nisimpogie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia,
Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimesgindwa
Mawazo yenu wadau
Asante mkuuπππ1. Usimuache subiri akuche yeye. Eee maana hakuna namna sasa, kama wewe huwezi kumuacha kwanini ujilazimishe kumuacha..
2. Tafta msichana mwingine kabla hujamuacha huyo ukishakuwa busy na mtu mwingine huyo utamuacha automatic tu.
3. Acha ujinga
Umeandika nini? Una au hunatuta-amini vp kama kweli una demu ?
Uje nikufanyie kombe utakunywa siku saba, na utaoga vile vile nitakutengezea mafusho. Kwa kifupi kijana una maradhi ya kupenda. Uko njia panda hutaki watakaNdugu zangu natumai mu wazima,
Nimekua kwenye uhusiano na binti flani, kiukweli huyu binti nimempenda mapenzi ya dhati , yani real love
Nimekua nae yeye peke yake tu yani kipindi chote nimempenda yeye tu bila kuchepuka,
Nimempenda sana kiukweli hata na yeye alijua kua nampenda sana na niko nae yeye pekee,
Sasa nilipata maneno kutoka kwa mama mmoja, aliniita na kunieleza kwamba binti huyo si mzuri wa tabia, kwamba ni malaya,
Kiukweli nilianza kufuatilia mienendo ya binti inaonekana kampani yake kubwa ni wanaume, nikamuuliza kwanini akanijibu eti yeye anapenda sana kampani ya wanaume kwakua hawana majungu kama wanawake,
Binti mwenyewe yuko kwa wazazi wake na amehitimu mwaka jana stashahada ya statistics
Kiukweli mimi ninampenda sana lakini najifikiria kumuacha,
Wakuu nisaidieni njia nifanyeje ili nimsahau kabisa, kwani nahitaji kumuacha ingali bado nampenda,
Nataka kumuacha kwakua nimehisi atanisumbua na stress siki za usoni,
Maana.kila nikimkuta na mwanaume anadai ni rafiki yake, na mimi hali hiyo naona sitaiweza kwakweli,
Ndugu zangu nifanyeje ili nimsahau kabisa
Ni njia gani watu hufanya ili kumiacha mtu ingali bado unmpenda?
Maana kuna mda najitahidi nisimpigie simu wala text lakini nnashindwa kumudu nampigia,
Akitaka tuonane anakuja kwangu tunaongea vizuri tu ila mimi moyo unataka kumuacha ila nimeshindwa
Mawazo yenu wadau
Unapokuwa kwenye mahusiano kuna vtu unatakiwa uviache regardless of interestNinachikona haujawa na uhakika asilimia 100% wa skendo ulizozisikia kwa yule mama kisha ukaanza kuzifatilia ,kuwa na marafiki wa kiume au wa kike it is just an interest,she is interested much with male friends, na usimhukumu kwa hilo ,mfatilie kwa ukaribu,but maamuzi ya kumwacha sio sahihi.utaishia kupwiyanga no body is perfect.
Na mimi nakazia1. Usimuache subiri akuche yeye. Eee maana hakuna namna sasa, kama wewe huwezi kumuacha kwanini ujilazimishe kumuacha..
2. Tafta msichana mwingine kabla hujamuacha huyo ukishakuwa busy na mtu mwingine huyo utamuacha automatic tu.
3. Acha ujinga