APOnimejaribu kuelezea kwa upande wangu but amenisaidia vingi sana izo outing zilikuwa zakulinda penzi asione namtegemea sana yeyeunamuomba muachane still unatoa tu macho unahisi wachina walioweka option za ku block wajinga,, ukiona anakupotezea mda mblock ufanye mambo yako.. af stori uliyotoa na kichwa cha habari haviendani sa ushua wake kwenye storiii umehusikaje kama zawadi na outing ulikua una pigika wewe[emoji23][emoji23] wanachuo bwana wakirudi likizo linakuwaga tatizo sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimejikuta nacheka comment yako!Mtoto wa o'level achana na dada zako hao chukua wa form free hawana necta sahivi halafu msiende deep sana mkajuana ukampa kitungo utaenda jela umesikia wewe dogo boya.
Kijana wa chuo unaandika maandishi yote hayo bila hata aya!Nimejalibu kuelezea ili nielewele na kupata ushauri ulio sahihi