Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,877
Naona kama haitoshiKwa kumuacha
Ushauri mzuriAchana nae.
Songa mbele.
Andaa thread Yako Sasa, ili uwape hayo mashauri...Nashauri waliopo karibu na wewe wakukamate na wakutandike bakora mujarab ili kwanza akili ikukae sawa.....bladi hell☹️
Ahsante kwa ushauri mzuriUsishindane na mwanamke anachana naye!
Naona kama haitoshi
Sawa nashukuru sana mkuuAchana naye
Sasa ungeeleza vizuri ili ueleweke..Amekula sana hela zangu.
Amepoteza muda wangu
Ameniharibia network na baadhi ya watu,
Amenitukana sana na kunidharirisha
Wazazi wake wote wananipa maneno mabaya juu yangu...
Na yeye dharau haziishi na maneno ya kuniumiza.
Karibu...maana hao viumbe hawajawai kueleweka ndio maana tunatakiwa kuishi nao kwa akili.Ahsante kwa ushauri mzuri
Mkuu najaribu ila Naona moyo unakataa kabisa usiku unawaka moto kumkumbukaKaribu...maana hao viumbe hawajawai kueleweka ndio maana tunatakiwa kuishi nao kwa akili.
So what??Sometimes kuku ni ndege mwenye akili za kiduanzi /
Kwa mfano anaweza akawa anamkimbiza panzi/
Kutoka boko bunju mpaka mbagala chamazi/
Endapo ikatokea yule panzi akapaa juu ya muanzi/
kuku huanza kufanya kitu kingine palepale na kusahau kama alikuwa anamkimbiza panzi.
By: Malle
Tafuta hela acha kulia liaAmekula sana hela zangu.
Amepoteza muda wangu
Ameniharibia network na baadhi ya watu,
Amenitukana sana na kunidharirisha
Wazazi wake wote wananipa maneno mabaya juu yangu...
Na yeye dharau haziishi na maneno ya kuniumiza.