Nawezaje Kujua kama Huawei ni original

Nawezaje Kujua kama Huawei ni original

Nina huawei G 510 kweli najuta ukiondoa storage na display. Naimiss techno yangu N3. Nahitaji kujua pia labda hii nimeshikishwa kweli anaejua hili suala asema. Niichek maana mmmmm.
 
Back
Top Bottom