Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
Wakuu msaada tutani tupeane some tricks.
Nawezaje kuishi kama atheist?
Nawezaje kuishi kama atheist?
Mtu asieamini Mungukwasie mbumbumbu tunaomba kujua maana ya hio atheist,, google mbali mno
OMG 🙆🏾,, asanteMtu asieamini Mungu
Una uhakika gani na iyo kauli yako?Achana na kuwa atheist,huko hakuna amani mkuu,Yesu ndio amani ya mioyo kwa wanaomfuata kwa moyo wa dhati
Nina uhakika kwakuwa mimi ni shahidi namba mojaUna uhakika gani na iyo kauli yako?
Shida gani?Sio rahisi kwa Afirica hasa bongo, utapata shida sana.
Kenya ni nchi progressive kuliko Tanzania na nyingi za Africa lakini hata huko sio rahisi kuishi kama Atheist, Tanzania ni vigumu zaidi.Tuunde chama chetu... Wenzetu Kenya wanacho
Utakuwa outcast kwa jamiiShida gani?
Kwani umekatazwa na mtu, ishi utakavyo, it's your choice.Wakuu msaada tutani tupeane some tricks.
Nawezaje kuishi kama atheist?
Allah ndo jibu lakoooWakuu msaada tutani tupeane some tricks.
Nawezaje kuishi kama atheist?
mkuu weka ushahidi twende sawaAllah ndo jibu lakooo
Atakuwa,labda,imani zingine zinamtatanisha au hapendi kutoa sadaka ya kujimaliza.Kwa nini unataka kuishi hivyo?
Just minds set and actions basssi!