Nawezaje kufuta nafasi moja kati ya nilizoomba UTUMISHI?

Sikua nimeona hicho kipengele cha kuomba nafasi moja tu
😁😁😁 Ulivamia tangazo mkuu, basi Jana tangazo lilivyotoka tu watu walibase pale kwenye bold. Wakasurrender wenyewe, safari hii hakuna janjajanja
 
Usiwe na wasi na hakuna tatizo lolote wat7 wameitwa mara mbili mbili TRC tena ninao wajua ni watatu sema wamefanya moja maana interview mda ulilingana
 
Sema trc hawakusema uombe moja au zaidi,ila tra wamesema kabisa omba moja.
 
Kwa hiyo umefurahii?
Nifurahi nini mkuu(Siwezi kufurahia majanga kama haya), Ila kikubwa nakusisitiza kuwa faanya juu chini hiyo post 1 ufute. Yaan kwa kuwa safari hii washasema kuwa Omba nafasi moja basi inatakiwa kufanya hvyohvyo(kazi zote za nyuma zilizopita hawakuwahi kuweka recommendation Kama hii Ila kwasasa kuwa makini nayo)
 
Mm mbona niliombaga zote zile zilizopita Custom na Tax Officer wakakata Custom wakaandika kabisa haujakuwa shortlist sababu umekuwa shortlist ktk Tax officer
 
Mwenye number ya mtu wa utumishi anisaidie please. Maana number zao za ofisin ni kama urembo tu,ukipiga hazipokelewi.
 
Hizo mkuu usipige utajisumbua, pia watu wa Utumishi wanapita humo kimyakimya Ila huwezi wajua kama upo karibu na ofisi zao Dom ingekuwa poa kama ungewaendea palepale
 
Niko mbali nao mkuu.sema nimeamua kuacha kama ilivyo,wataamua wenyewe watavyoniadhibu.
 
Duuuh, Aseeh case kweli ni kubwa Ila kwa awamu hii Niko na mashaka nao sana,, kwa kuwa wameongelea hii issue Zile nafasi zilizopita hawakuweka hiki kipengele naona Kuna adha wameipata ndo maana now wameamua kucommand namna hii.
 
Sema portal yao haiko friendly,ilitakiwa kuwe na option ya kucancell application.
 
Sidhani kama ina madhara.huwa wanatoa hayo masharti na watu wanaomba mbili na hakuna madhara yoyote.fuata ushauri wa Perry hapo juu.ili usiitwe hiyo usiyoitaka ni better usiaatach cover letter ili wakikagua wajue ulikosea na wakukatae.
 
Sema portal yao haiko friendly,ilitakiwa kuwe na option ya kucancell application.
Acha uoga mkuu,nenda kwenye application zako delete barua na moja kwa moja application itapotea,me nishafanyaga hivyo na ikakubali,fanya hivyo alafu Rudi kwenye my application hutoikuta
 
Sawa boss..let's me try
 
Acha uoga mkuu,nenda kwenye application zako delete barua na moja kwa moja application itapotea,me nishafanyaga hivyo na ikakubali,fanya hivyo alafu Rudi kwenye my application hutoikuta
Pale hakuna sehemu ya kudelete mkuu.we ulifanyaje?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…