S spirrowiver Member Joined Aug 2, 2014 Posts 13 Reaction score 0 Jan 30, 2015 #1 Kama heading invyojieleza computer ipo kwenye lugha ya kijerumani nahitaji kuibadisha iwe katika lugha ya kingereza.naombeni msaada wenu.
Kama heading invyojieleza computer ipo kwenye lugha ya kijerumani nahitaji kuibadisha iwe katika lugha ya kingereza.naombeni msaada wenu.
VAN HEIST JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 1,434 Reaction score 617 Jan 30, 2015 #2 kama unakijua kijerumani nenda control panel ingia kwenye regional and language options kama hujui we nenda control panel kuna icon inaonekana kama dunia ingia humo utakuta option za lugha
kama unakijua kijerumani nenda control panel ingia kwenye regional and language options kama hujui we nenda control panel kuna icon inaonekana kama dunia ingia humo utakuta option za lugha
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,164 Jan 30, 2015 #3 spirrowiver said: kama heading invyojieleza computer ipo kwenye lugha ya kijerumani nahitaji kuibadisha iwe katika lugha ya kingereza.naombeni msaada wenu. Click to expand... Computer au OS ?
spirrowiver said: kama heading invyojieleza computer ipo kwenye lugha ya kijerumani nahitaji kuibadisha iwe katika lugha ya kingereza.naombeni msaada wenu. Click to expand... Computer au OS ?