Nawezaje kubadili ID yangu hapa JF ?

Afande Nyati

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
2,385
Reaction score
1,414
Inawezekana kubadili I'd jf? kama inawezekana ebu nipeni maujanja.
 
hapana boss sijakucheka...nimefurahi tu kuwa unaweza kuwa unaishi ndani ya nyumba lkn usimjue japo mmoja anayehusika na nyumba hiyo...

Hii shida kweli. Bac nipe ujanja kwa sekunde niwe proffesional na mm.
 
Hii shida kweli. Bac nipe ujanja kwa sekunde niwe proffesional na mm.
mkuu huo ujanja mm uko nje ya uwezo wangu!ila kama alivyosema mdau mmoja hapo juu tuma private message kwenda kwa moderator!invisible atakufanyia ukitakacho...
 
mkuu huo ujanja mm uko nje ya uwezo wangu!ila kama alivyosema mdau mmoja hapo juu tuma private message kwenda kwa moderator!invisible atakufanyia ukitakacho...

Nielekeze tuu jinc ya kutuma. Naenda kwny setup ipi.
 
Inawezekana kubadili I'd jf? kama inawezekana ebu nipeni maujanja.

Mtumie PM Invisible na jina unalotaka kutumia...
Hii ni haki yako, mfano mimi nimebadili mara nne,
C++
september 5
Coder
snipa
na sio mda hili nalo ntalibadili coz kuna interaction flan na black forums nyingi nyingi, bado nafikiria nibadili au niwe offline.

Regard.
 
Last edited by a moderator:

Nimetuma kwny contact us lakini mpaka sasa sijaona chochote.
 
Last edited by a moderator:
Nimetuma kwny contact us lakini mpaka sasa sijaona chochote.


Umetuma na email unayotumia humu JF au ?
Kama sio basi ni white colour on charcoal..Kama ndio basi subiri, ukiona huduma inacheleweshwa m PM invisible utasaidiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…