Nawezaje Kubadili group Admin Whatsapp

Nawezaje Kubadili group Admin Whatsapp

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,640
Reaction score
2,235
Whatsapp imekua ni moja kati ya teknolojia inayotuunganisha marafiki. Wengi wetu tumenufaika na huduma zake mbalimbali ikiwamo GROUP CHAT.

Hapo nyuma kidogo niliwahi kuanzisha group la marafiki ambalo kwa kweli limetujenga na kutuburudisha. Nimeweka uzi huu jamvini kupata msaada wa namna gani nitampa member mwingine (nimtakaye) ukuu wa group lile. Kwa mujibu wa Whatsapp mkuu mpya hupatikana randomly baada ya yule wa zamani kujitoa. Hivyo kama menye mbinu za medani kufanikisha nilitakalo atusaidie.
 
Mpe mtu u-admin halafu mwambie yeye akutoe halafu akuunganishe kama member mpya.

Nimeshafanya hivyo.
 
Ili kuwa na uhakika wa uadmin kuwa wa memba umtakaye basi funga group kwa kufuta member wote (vizuri mkiwataarifu) halafu yule unaetaka awe admin aanzishe kwa kuwa add member wale
 
Back
Top Bottom