Red shadow JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,411 Reaction score 1,975 May 11, 2024 #1 Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,301 Reaction score 89,449 May 11, 2024 #2 Njaa haijakuuma wewe.
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,955 Reaction score 43,388 May 11, 2024 #3 Unaacha kwa kujiwekea utaratibu wa kujituma katika kufanya kazi Kila wakati.
Red shadow JF-Expert Member Joined Apr 11, 2024 Posts 1,411 Reaction score 1,975 May 11, 2024 Thread starter #4 SawA kwenye ratiba ndio natakiwa nianze kuweka tabia ya kufanya kaz
Witch hunter JF-Expert Member Joined Nov 21, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,986 May 11, 2024 #5 Uvivu au uvuvi?
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,618 Reaction score 8,060 May 11, 2024 #6 Weka malengo kwenye kazi zako mfano leo natakiwa kufanya kaz vitu kadhaa na hakikisha vinaisha.
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,618 Reaction score 8,060 May 11, 2024 #7 Mad Max said: Njaa haijakuuma wewe. Click to expand... 😄😄😄Aijampiga vzr
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,770 Reaction score 54,858 May 11, 2024 #8 Soulja boy said: Weka malengo kwenye kazi zako mfano leo natakiwa kufanya kaz vitu kadhaa na hakikisha vinaisha. Click to expand... Umesema vyema Na kwa kuongezea kwenye kila kazi ajiwekee muda wa kuanza na kumaliza hiyo kazi Na ashikamane na hiyo ratiba Mwanzo mgumu ila asikate tamaa
Soulja boy said: Weka malengo kwenye kazi zako mfano leo natakiwa kufanya kaz vitu kadhaa na hakikisha vinaisha. Click to expand... Umesema vyema Na kwa kuongezea kwenye kila kazi ajiwekee muda wa kuanza na kumaliza hiyo kazi Na ashikamane na hiyo ratiba Mwanzo mgumu ila asikate tamaa
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 May 11, 2024 #9 Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... Ni pale utakapoacha uvivu wa kufikiria namna ya kuuacha uvivu na kututupia swali tukujibie.
Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... Ni pale utakapoacha uvivu wa kufikiria namna ya kuuacha uvivu na kututupia swali tukujibie.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 7,696 Reaction score 15,967 May 11, 2024 #10 Anza siku kwa kufanya mazoezi ya viungo asubuhi na mapema. zingatia neno"asubuhi na mapema"sio kuamka saa sita mchana.
Anza siku kwa kufanya mazoezi ya viungo asubuhi na mapema. zingatia neno"asubuhi na mapema"sio kuamka saa sita mchana.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 May 11, 2024 #11 1. Amka mapema.. mwili unakuwa active 2. Make ‘to do list’ur friend. Ila kama ni mvivu uliyekolea nazi hata hiyo to do list utakuwa unaiskip 😝
1. Amka mapema.. mwili unakuwa active 2. Make ‘to do list’ur friend. Ila kama ni mvivu uliyekolea nazi hata hiyo to do list utakuwa unaiskip 😝
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,664 Reaction score 22,844 May 11, 2024 #12 Anza kwa kutandika kitanda chako. Make sure kila asubuhi kitanda chako kinakuwa neat baada ya kuamka tu. Then proceed kwenye mambo mengine uhakikishe yanaenda. Kufanya mambo inataka disciplined mind set sio akili za ukilaza.
Anza kwa kutandika kitanda chako. Make sure kila asubuhi kitanda chako kinakuwa neat baada ya kuamka tu. Then proceed kwenye mambo mengine uhakikishe yanaenda. Kufanya mambo inataka disciplined mind set sio akili za ukilaza.
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,865 Reaction score 89,792 May 11, 2024 #13 Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... Tuko pamoja mkuu Binafsi ni mvivu wa majukumu ya kazini na shughuli zingine Kwa sababu mwisho wa siku lazima kazi zifanyike nimejiwekea utaratibu wa kutolaza kazi Kauli ya nitafanya badae itoe kwenye ratiba yako,hata kazi ikiwa ndogo namna gani usisubiri kesho Unavyoziacha ndogo ndogo zinaongezeka na kuwa nyingi
Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... Tuko pamoja mkuu Binafsi ni mvivu wa majukumu ya kazini na shughuli zingine Kwa sababu mwisho wa siku lazima kazi zifanyike nimejiwekea utaratibu wa kutolaza kazi Kauli ya nitafanya badae itoe kwenye ratiba yako,hata kazi ikiwa ndogo namna gani usisubiri kesho Unavyoziacha ndogo ndogo zinaongezeka na kuwa nyingi
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,283 Reaction score 4,111 May 11, 2024 #14 Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... una miaka mingap kwani?
Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... una miaka mingap kwani?
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,283 Reaction score 4,111 May 11, 2024 #15 Jimson10 said: SawA kwenye ratiba ndio natakiwa nianze kuweka tabia ya kufanya kaz Click to expand... kama unalishwa huwezi kuacha uvivu itakua kwenu mambo safi
Jimson10 said: SawA kwenye ratiba ndio natakiwa nianze kuweka tabia ya kufanya kaz Click to expand... kama unalishwa huwezi kuacha uvivu itakua kwenu mambo safi
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 May 11, 2024 #16 Friedrich Nietzsche said: una miaka mingap kwani? Click to expand... Muonee huruma.Atasikia uvivu kujibu.
Friedrich Nietzsche said: una miaka mingap kwani? Click to expand... Muonee huruma.Atasikia uvivu kujibu.
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,283 Reaction score 4,111 May 11, 2024 #17 Moisemusajiografii said: Ni pale utakapoacha uvivu wa kufikiria namna ya kuuacha uvivu na kututupia swali tukujibie. Click to expand... 😂😂😂kwamba kufikiria kwenyewe kaona uvivu
Moisemusajiografii said: Ni pale utakapoacha uvivu wa kufikiria namna ya kuuacha uvivu na kututupia swali tukujibie. Click to expand... 😂😂😂kwamba kufikiria kwenyewe kaona uvivu
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,662 Reaction score 9,975 May 11, 2024 #18 UVIVU ...... hata ukilisoma kinyume ni mle mlee Jitahidi ufanye jambo ambalo una interest nalo
Planet Data bundles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 2,283 Reaction score 4,111 May 11, 2024 #19 Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... we ni mtoto wa ngapi kwenu
Jimson10 said: Nawezaje nikaacha uvivu katika majukumu ya kazi na shughul nyingine? Click to expand... we ni mtoto wa ngapi kwenu
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 May 11, 2024 #20 Friedrich Nietzsche said: 😂😂😂kwamba kufikiria kwenyewe kaona uvivu Click to expand... Kama anatuuliza afanyeje ili aache uvivu,kweli kuna mtu hapo?🤣🤣🤣
Friedrich Nietzsche said: 😂😂😂kwamba kufikiria kwenyewe kaona uvivu Click to expand... Kama anatuuliza afanyeje ili aache uvivu,kweli kuna mtu hapo?🤣🤣🤣