Nawezaje ku-downgrade Version ya Android ?

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari zenu wakuu,naombeni msaada kwa yeyote mwenye uelewa..nina huawei p6 yenye Android version 4.2.2 then nkafanya local updates kwa kudownload firmware inayoishia na B125, B132 na mwisho kabsa nkamalizia na yenye B501 Kwa sababu kabla ya ku apdate android 4.2.2 iliyokuwemo ilikuwa ina firmware inayoishia na B119.

Sasa tatzo baada ya kufanya updates za hzo firmware moja baada ya nyingine nimejikuta simu ina Android version 4.4.2 na UI ya simu na kila kitu kimebadilika mpaka muonekano wote hadi Lock screen...ombi langu kwa yeyote mwenye uelewa anielekeze nn cha kufanya ili niirudishe simu kwenye Android version ya 4.2.2..natanguliza shukuran sana kwa yeyote atakaesaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…