kyakakombo
Member
- Jun 7, 2013
- 41
- 36
Hapo jirani yako hakuna hata mtu wa kukuwashia WiFi???Habari wakuu? Simu yangu inavirus wengi nataka kuifanyia factory reset Ila nakumbuka Mara ya mwisho ililetea option ya kutumia WiFi ndoinakubali mpk nikataguta kwenye WiFi ndo nikafanikiwa .Kwa sasa nipo mbali na huduma ya WiFi je nawezaje kukamilisha zoezi bila WiFi.
Ntashukuru
Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
Ingia setting=>Accounts=>google=> Bonyeza kwenye vile vidot vitatu then chagua remove account.Habari wakuu? Simu yangu inavirus wengi nataka kuifanyia factory reset Ila nakumbuka Mara ya mwisho ililetea option ya kutumia WiFi ndoinakubali mpk nikataguta kwenye WiFi ndo nikafanikiwa .Kwa sasa nipo mbali na huduma ya WiFi je nawezaje kukamilisha zoezi bila WiFi.
Ntashukuru
Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
Asante mkuu nadhani hapa ndo palikuwa pananipa taabuIngia setting=>Accounts=>google=> Bonyeza kwenye vile vidot vitatu then chagua remove account.
Ukimaliza hapo fanya yako hakuna shidaa
Ingia Settings, kisha Accounts, kisha nende kwenye Google au Gmail u remove izo accontAsanye mkuu ila naomba kujua naremove VP google account yangu ?
Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
BOOTLOADER inahusika vipi na issue ya jamaa?Ingia kwenye settings>about phone>build number kisha ibonyeze hiyo build number mara saba, hapo utakuwa teyari usharuhusu developer option.
Rudi kwenye settings>developer option>OEM unlocking weka tiki hapo, ingiza password ya simu.
RESTORE SIMU YAKO. Hauitaji wifi
Katika comment yangu sijataja hilo neno (bootloader)BOOTLOADERinahusika vipi na issue ya jamaa?
OEM unlocking ni kuruhusu bootloader unlocking Soma vizuri screen shot yakoKatika comment yangu sijataja hilo neno (bootloader)
Nilichosema mimi aweke alama kwenye OEM unlocking ili akirestore isimdai email
View attachment 993591
Bootloader huwa inakuwa locked pindi unapoisajili simu kwa email yako ya google ili kuipa ulinzi simu yako pindi itakapofomatiwa na mtu ambaye si mmiliki alali wa simu husika.OEM unlocking ni kuruhusu bootloader unlocking Soma vizuri screen shot yako
Upo sahihi mkuu nimetumia njia hii na nimefanikiwa for 100% ThanxBootloader huwa inakuwa locked pindi unapoisajili simu kwa email yako ya google ili kuipa ulinzi simu yako pindi itakapofomatiwa na mtu ambaye si mmiliki alali wa simu husika.
Ukiweka tick kwenye OEM unlocking, unakuwa umeiremove hiyo loki. Ukitoa tiki, utakuwa umeiruhusu bootloader ijiloki kama awali.
Faida ya ku-unloack bootloader kwa kuweka alama ya tick kwenye OEM unlocking ni pindi umesahau login details za simu yako na unataka kuirestore.
-ukishairestore, bootloader inakuwa locked kama mwanzo na ukitaka kui unlock tena utatumia step zile zile.
Habari wakuu? Simu yangu inavirus wengi nataka kuifanyia factory reset Ila nakumbuka Mara ya mwisho ililetea option ya kutumia WiFi ndoinakubali mpk nikataguta kwenye WiFi ndo nikafanikiwa .Kwa sasa nipo mbali na huduma ya WiFi je nawezaje kukamilisha zoezi bila WiFi.
Ntashukuru
Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
Mkuu mbona kwenye bandiko langu sijasema kuwa ni nzito..??Umejuaje kwamba simu yako ina viruses???,simu kuwa nzito(kama ni sababu)ni kama umejaza apps nyingi za ajabu ajabu,ambazo pia huleta matangazo yasiyoisha.
Zi uninstall kwanza kisha uitasmini.