Nillikuwa safari nje wiki ya uandikishaji ambapo ulikuwa muda mfupi na sikujiandikisha.lakini nina kadi ya mpiga kura je naweza piga kura kesho uchaguzi wa mtaa ?
Kwa mujibu wa sheria inayosimamia uchaguzi huu kama hujajiandikisha huwezi piga kaka mimi mwenyewe niliandikisha wapiga kura chakushangaza sijajiandikisha yaani ni shiidah. Hata wananchi waliojitokeza ni wachache sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.