Naweza pata wapi suti za kukodisha za wadada?

Naweza pata wapi suti za kukodisha za wadada?

escada

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Hallow, jamani naombeni msaada kama kunamtu anaweza kunielekeza ni wapi naweza pata suti za wadada kama nane za kukodisha, koz officini wanataka maashers wavae nguo za aina moja.
 
Hallow, jamani naombeni msaada kama kunamtu anaweza kunielekeza ni wapi naweza pata suti za wadada kama nane za kukodisha, koz officini wanataka maashers wavae nguo za aina moja.
escada,kuna taarifa muhimu bado zinahitajika ili kufanikisha ombi la msaada unaoutafuta.
Ni rangi gani inatakiwa, na hao akina dada naamini watakuwa wanatofautiana size kwa maana ya small,medium,large,XL,XXL etc.
Wasiliana na wahusika ili uje na taarifa iliyokamilika ili kufanikisha ombi lako,hasa ukizingatia ni lini zinahitajika.
Asante.
 
Rangi ni dark blue suits na nashati ya sky blue, one is small, seven are medium one is large, zahitajika next week, but tunatafuta ili waweze kuja kufanya fiti na tukubaliane bei.
 
Back
Top Bottom