Naweza pata wapi mkopo nafuu wa biashara?

Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
744
660
Mimi ni mfanyabiashara wa Electronics hapa Dodoma nilikuwa nahitaji kujua mambo yafuatayo kuhusu mkopo
1.Taasisi ambayo naweza pata mkopo wa kama milioni 5
2.Natakiwa niwe na nn kama mdhamana wa mm kupewa mkopo currently nina hati ya kiwanja ila kiwanja hicho hakipo dom

Naombeni mawazo yenu wakuu
 
Leseni yako ya biashara ni dhamana tosha... Kifupi duka lako ni dhamana.. Tembelea mabenki na taasis kama finca,brac....
 
Huna rafiki mwenye uwezo kifedha akakuadhima tu hyo hela then ukafaight na kumrejeshea hela yake mkuu?? Kwingine huko miyayusho kweli aisee.
 
Bank gani hyo mkuu inayotaka leseni tu na bidhaa bila collaterals ambayo ni fixed asset?
Leseni yako ya biashara ni dhamana tosha... Kifupi duka lako ni dhamana.. Tembelea mabenki na taasis kama finca,brac....
 
Binafsi kwa leseni nimeona dada yangu akichukulia hel brac na finca pia alishawah kuchukua.. So naamin mpaka benki itakua ivo...... Kwa mfano nmb au crdb.. Pia nakushaur tembelea matawi yao ili wakupe muongozo mzur....
 
Its OK, hatuwezi walaumu maana huenda ikawa ni kweli. Cheki na hizi Microfinance ambazo ziko around na uliko ila kua makini sana na kiwango cha riba.

Access bank nakushauri usiende maana unaeza hama mkoa siku za marejesho zikifika.
kila mtu ninayemjaribu anadai hela imekuwa ngumu kwa sasa mkuu
 
Its OK, hatuwezi walaumu maana huenda ikawa ni kweli. Cheki na hizi Microfinance ambazo ziko around na uliko ila kua makini sana na kiwango cha riba.

Access bank nakushauri usiende maana unaeza hama mkoa siku za marejesho zikifika.

nashukuru mkuu kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom