Omary Hamad
New Member
- Apr 14, 2017
- 1
- 0
Nimemakiza kidato cha 4 mwaka 2015 nikapata 3 ya 24 PHY D, CHEM D, KISW C, BIO C, MATH D, CIV C, HIST D, GEO D, ENG C, Naweza nikasomea chuo cha ufund maswala ya umeme "electrical" kutokana na alama zangu nilizo pata au kama kuna kitu kingine cha kusomea ambacho kina manufaa niambie naomben ushauri wenu wakuu ntashukuru sana