Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Mkuu Nina sifa za kusoma degree sema kwa sasa nnasoma certificate ya mwaka mmoja ktk Chuo fulan so naweza nkaendelea kusoma degree hapo Chuo at the same time coz mda wa open university haubani sana kuingia class au nfanyaje mkuu?Kama certificate yako ni ya mwaka mmoja na kuendelea, itabidi usome foundation kozini waka mmoja kisha ndio utajiunga na degree kozi
Sasa kama unajua una sifa unataka usaidiwe nini hapa?Mkuu Nina sifa za kusoma degree sema kwa sasa nnasoma certificate ya mwaka mmoja ktk Chuo fulan so naweza nkaendelea kusoma degree hapo Chuo at the same time coz mda wa open university haubani sana kuingia class au nfanyaje mkuu?
Mkuu sio atatakiwa aende kwanza diploma?Kama certificate yako ni ya mwaka mmoja na kuendelea, itabidi usome foundation kozini waka mmoja kisha ndio utajiunga na degree kozi
...sifa za kujiunga na hiyo course yako Open University unazifahamu?, km unazo, then hakuna kitachoshindikana,Open University utakuwa unajisomea mwenyewe,ila ukiwafahamu wenzako wa hiyo course,mtakuwa mna discuss,na library kubwa tu ipo,thn wewe unaweza kuendelea na hiyo certificate yako huko kwingine,bora uwe tyr kufanya mitihani ya Open mwezi wa 2 test, na wa 5 au 6 annual exams.Mkuu Nina sifa za kusoma degree sema kwa sasa nnasoma certificate ya mwaka mmoja ktk Chuo fulan so naweza nkaendelea kusoma degree hapo Chuo at the same time coz mda wa open university haubani sana kuingia class au nfanyaje mkuu?
Asante mkuu...sifa za kujiunga na hiyo course yako Open University unazifahamu?, km unazo, then hakuna kitachoshindikana,Open University utakuwa unajisomea mwenyewe,ila ukiwafahamu wenzako wa hiyo course,mtakuwa mna discuss,na library kubwa tu ipo,thn wewe unaweza kuendelea na hiyo certificate yako huko kwingine,bora uwe tyr kufanya mitihani ya Open mwezi wa 2 test, na wa 5 au 6 annual exams.
Mm nna suali hapo , kwaio hakuna kuingia class au ? Unajisomea mwenyeweAsante mkuu
Kwa hyo kwa open university mtu anaweza kuendelea kusoma hata kama kuna masomo mengne anasoma chuo kingine at the same time!!
vipi kuhusu ajira kinazingatiwa au hd usome na kwengine?Mm nna suali hapo , kwaio hakuna kuingia class au ? Unajisomea mwenyewe