ebana inakuaje, hiyo motherboard unataka kwaajili ya desktop sio. na unataka ya pentium ngapi?!Wana jf natafuta motherboard,kwan motherboard yangu imeharibika kabsa,cpu yangu ni AS ROCK,model mpya kabsa aina ya SATA,nisaidien wakuu
<br />Wana jf natafuta motherboard,kwan motherboard yangu imeharibika kabsa,cpu yangu ni AS ROCK,model mpya kabsa aina ya SATA,nisaidien wakuu
poa poa, nicheki kwa namba yangu 0655-003510Ndio kaka ni desktop,pentium 4