Ray of light
Senior Member
- Sep 8, 2018
- 154
- 298
Ipo mkuuNgoja waje. Maana mimi ndio leo nasikia kuna dry ice..
Nishaijua. Kweli elimu haina mwisho.Ipo mkuu
Shukrani mkuu, wa Kinyerezi ananifaa zaidi maana naishi maeneo ya huko ila pia wa A to Z si mbaya.Uko maeneo gani? Nimeona kuna supplier kinyerezi pale, pia kuna TOL gas kama utawapata na A TO Z supermaket palm residence chimala street...
Haya chagua moja nikupe contacts
Kumbe jirani mkuu...Shukrani mkuu, wa Kinyerezi ananifaa zaidi maana naishi maeneo ya huko ila pia wa A to Z si mbaya.
ShukraniKumbe jirani mkuu...
0767266772 kinyerezi
0682919213 A to Z
NB.
Details zote nimetafuta mitandaoni siwajui hao watu.
Thanks.
Nimewapigia A to Z supermarket wamenielekeza kila kitu cha muhimu. Wa Kinyerezi huyu anauza ice blocks za kawaidaKumbe jirani mkuu...
0767266772 kinyerezi
0682919213 A to Z
NB.
Details zote nimetafuta mitandaoni siwajui hao watu.
Thanks.