Jamani wanateknolojia habari za Asubuhi naomba kujua naweza pata Wapi Drone nzuri waterploof na ikae na chaji atleast masaa 3 na iwe na HD haswa kupiga picha za Usiku.......

na bila kusahau jua soma manual vizuri kabla ya kuirusha drone yako.....kuna jamaa yangu aliagiza drone ikapasuka siku hiyo hiyo mana hata hakusoma manual

Kuna jamaa yangu alinunua moja so cheap toka ile app ya wachina ya manunuzi 84,000 tu.
aliitumia week mbili siku moja ilipopaa hakuiona tena ilikata mawasiliano nikajua ching chu keshafanya yake fake fake

hahahahaha hahahahaha hahahahaha hata mimi ishanitokea nilikodi ikapotea nilitafta nikaikuta juu ya hotel moja ya huku mwanza ila haikuwa na hali nzuri

Nilianza kupreview video iliyo record maeneo ilipokatia netwk napajua ikabidi nipande mzee yani ilikuwa nyang'a nyang'a hahahahaha hela ya watu lazima nitafte hata kambi ya jeshi mkuu