Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
90 hyo ni kwa ajiri ya matumizi ya nyumbani na sio biashara
unaweza kupata ila printer zimepanda bei kwa sasa. Hakikisha tu unapata ile yakuwa una-refill wino na siyo ulazimike kununua cartridge box mpya kila mara
Mwaka jana nilisikia wanazitangaza sa sijui kama bado zipo? haijalishi ni dot matrix, lazer au bable jet, ila iwe nauwezo wa kutoa copy pia (photocopying).
Naombeni msaada wenu, mimi sio mtaalamu sana wa mambo hayo kwaiyo tusamehane kama kuna sehemu sijaeleweka. Napatikana posho town, idodomya

mkuu unaweza kupata HP ina print black na coloured inatoa copy na pia ina scan. Kama uko tayari ipo mkuu ila ni mwanza
Hata kama ni matumizi ya nyumbani inategemea ni kazi ipi.
Kama unaprint na kutoa copy nyingi mfano 100 copies kwa mwezi printer hiyo ndogo itakusumbua, hasa kwenye manunuzi ya catridge.
Kwa copy nyingi nunua epson printer yenye mitungi ya wino. Wino unakaa muda mrefu na pia ni rahisi kuongeza wino huhitaji kununua catridge.
Kitu muhimu ni kujua unataka kuitumia kwa matuzi gani?? Then bei
Mkuu FP printer aina gani ambazo catridge zake ni refillable?Unaweza kupata ila printer zimepanda bei kwa sasa. hakikisha tu unapata ile yakuwa una-refill wino na siyo ulazimike kununua cartridge box mpya kila mara