Naweza kupata AVN kutoka NACTE kwa kutumia transcript?

Mpatuka

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
1,711
2,494
nimemaliza diploma mwaka huu in crop production, vyeti nahisi vitatoka mwakani lakin transcript tayar nimeipata, je naweza kuomba AVN number kutoka NACTE kwa kutumia transcript pekee bila cheti?
 
nimemaliza diploma mwaka huu in crop production, vyeti nahisi vitatoka mwakani lakin transcript tayar nimeipata, je naweza kuomba AVN number kutoka NACTE kwa kutumia transcript pekee bila cheti?
AVN kupata haiitaji cheti, Mimi niliipata bila cheti wala transcript. Ingia nacte uombe AVN
 
Hawaitaji transcript. Coz matokeo yako huwa yanatumwa na Xhuo nacte. Kwaio we ingia tu kwa system uombe
 
asante mkuu ila wameniletea hio section hapo chini
Screenshot_20180907-073239.jpg
 
Ukiona wanaomba transcript ujue chuo.chini kimechelewa kupeleka majina yenu na marks nacte , hivyo attach transcript kama unaharaka au usubiri mpaka chuo wapeleke kama hauna haraka
 
Ukiona wanaomba transcript ujue chuo.chini kimechelewa kupeleka majina yenu na marks nacte , hivyo attach transcript kama unaharaka au usubiri mpaka chuo wapeleke kama hauna haraka
ok asante kaka, kwasasa sina haraka sana ngoja nisubir tu
 
Mkuu click I have already uploaded then kuna mawili eitha uambiwe usubiri kwa muda au uletewe sehem ya kulipia muda huo huo

Nb: kulipia ni must eitha usubir au usisubir
ok ni shingapi ndg inayotozwa ili kupata iyo AVN
 
Huwa ni rahisi sana kuipata ikiwa chuo chako kimeshatuma taarifa zenu nacte.
ss tulichelewa kumaliza ila tarehe 31 mwez 8 chuoni walituma hayo matokeo, nikajaribu kuapply kuomba AVN mfumo umeniambie nisubir kwa siku nne. angalizo ni hili mfumo ulihitaji ni upload transcript na chet lakin ckufanya ivo, kwakua ckua navyo lakin bado umenisubirisha kwa cku nne
 
Kama chuo kimepeleka taarifa click tuu I have already uploaded basi mimi nilifanya hivyo nikapata
 
Back
Top Bottom