Naweza kuchaguliwa PCB nina D ya Physics?

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
410
477
Wakuu, ufaulu wangu ni
Phy D,
Chem B,
Bio C,
Math C,
Eng C,
Geo, D,
Hist D,
Civ C.
Jumla two ya 21.
Kama haiwezekani PCB, nikasomee Afya.
 
Wakuu, ufaulu wangu ni
Phy D,
Chem B,
Bio C,
Math C,
Eng C,
Geo, D,
Hist D,
Civ C.
Jumla two ya 21.
Kama haiwezekani PCB, nikasomee Afya.
Unachuguliwaje na una D anywaya mwaka huu ufaulu umepanda na competition ni kubwa
 
Kumbe waliowengi humu tunajadiliana na watoto wa formfour na walikuwa wanasubilia matokeo.dah kasome certificate in fisheries pale Nyegezi then diploma in fisheries then degree in Marine Biology Udsm utakuwa umewin maisha
 
Wakuu, ufaulu wangu ni
Phy D,
Chem B,
Bio C,
Math C,
Eng C,
Geo, D,
Hist D,
Civ C.
Jumla two ya 21.
Kama haiwezekani PCB, nikasomee Afya.
Kwa mwaka juzi ungechukuliwa ila. Mwakahuu cnahakika mambo yamebadilika
 
PCB utapata sababu umepass math......na phy kupata D na yenyewe ni pass...... ni wa PCB au PCM
 
Back
Top Bottom