Naweza ku unlock modem ya zantel??

Wakuu embu nipeni desa, naweza ku unlock modem ya zantel???


dah mkuu mordem hiyo ni noma hai ingiliani na hizi lain za tigo,voda,airtel, iweke tu ndani ya sanduku usichoke mana yanaweza yakaja kutokea ma utundu ya hiyo mordem haliyakuwa umesha ipija shoka halafu ukaja kujuta
 
hapo nimekusoma kiongozi, thanks in advance, ngoja nikaitumbukize kwenye kibubu kama pesa then mwisho wa siku itafahamika tu
 
Back
Top Bottom