Nawekaje private facebook messages?

not found 404

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
322
170
Habari za hapa na pale wakuu,

Je nawezaje kufanya message za Facebook ziwe private?

Yani ukiwa unatumia fb messenger, zisiwe zinaingia pasipo kuwa na kakitu kama ka drop box au sijui ki pop up ambacho kinakuja kwenye screen hata kama app ipo background.

Jamani nisaidieni, ninakaujuzi kidogo ila hii inanisumbua.

Nadakwa sana michepuko (jokes hahha)

Wasalam.
 
Nenda kwenye setting ya hiyo messenger kuna pahala una kitoa hiko boss baki njia kuu
 
Back
Top Bottom