Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
kila la heri bibieNaweka bondi simu yangu lenovo A6000 nipo Dar naitaji Mkopo Wa laki 2.5 haina shida yoyote nauza coz matatizo
Original toleo la kwanza alietayari ani pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea anaitaji kununua sawa ikiwatumekubaliana bond sawa at police tuandikishane sawa
Hapana ndiomaana sikusema laki 3 wala laki 4 nimesema laki 2.5 Na ata akitokea Wa laki 2 nampa kwasababu naitoa hivi naipenda sana Na haina tatizo lolote yaani hii simu nipo sahihi kabisa nahiyo hela pia japo wakati nanunua nilinunua laki 3 Na nusu nasijaitumia sana sina jinsi bado nahamu nayoKwa mfano ukashndwa kulipa io hela thaman ya cm hailingan na pesa..... Yan utakuwa umemuuzia cm io kwa lak 2.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi bado ipo hii simu..? Doris GabrielNaweka bondi simu yangu lenovo A6000 nipo Dar naitaji Mkopo Wa laki 2.5 haina shida yoyote nauza coz matatizo
Original toleo la kwanza alietayari ani pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado ipo my naomba uje pmVipi bado ipo hii simu..? Doris Gabriel