Nawaza Nitampataje Mwanangu

Nawaza Nitampataje Mwanangu

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,195
Wakuu hii ni story ya kweli naombeni maneno yenu yenye hekima,

Kulikuwa na Binti mmoja hivi nilikuwa na Mahusiano nae,
Kujuana ilikuwa kibandani kwangu kwenye Chipsi ,
Alikuwa ni mmoja wa wateja wangu mkubwa lakini yale mazoea yalifanya mpaka tukawa wapenzi,

Mwanzo namtongoza sikujua Chochote kumuhusu ila baada ya kuanzisha mahusiano nae aliniambia kwamba kuna jamaa yuko anakaa nae (mpenzi) na alishatoa mahali kwao,

Lakini jambo kubwa ni kwamba hiyo mahali yeye akushirikishwa bali wazazi wake ndio waliamua kila kitu,
ila ukweli ni kwamba yeye kama yeye hakumpenda huyo kijana na hakuwa na hisia nae zozote,

Of course mie sikufatilia chochote kuhusu hayo maneno yake ila nilichokuwa nahitaji ni penzi lake tu,

Kweli tulianza kudate kukutana na kufanya mapenzi karibia kila wiki mara 3 hadi 4,
Hali hiyo ilipelekea tuzoeane sana kiasi cha kuwa zaidi ya wapenzi,

Kwa kuwa yeye alishaniambia ana jamaa yake mie sikumuweka akilini ,
Kumbe yeye tayari alikuwa ameshapanga mengi kunihusu,
ilifikia kipindi akagombana na jamaa yake akaachana nae na kurudi kukaa kwao,

Nakumbuka Siku moja hivi alikuja gheto kwangu,kwa kuwa ni wapenzi nikaomba mchezo alinikatalia sana siku ile na kusema yuko danger nisifanye nae chochote atapata mimba,
Kwa kuwa mie kidume nilimlainisha kwa maneno matamu tukafanya,

Baada ya hapo siku kama mbili akawa anasumbua anataka niende kwao nimuoe ,nilivyoona usumbufu ni mwingi na mimi nilikuwa sina mpango wowote nae,
Nikaanza mzimia simu,akija sitaki kuonana nae na mambo mengine mengi(hapo nakili wazi)

Yeye baada ya kuona vile basi akapotezea baada ya miezi kadhaa akaanza kunitafuta tena wakati huo mimi tayari nilikuwa na mishe zingine na hapo nilipokuwa nakaa Zamani nilihama,

Pekee pa kunipata ilikuwa ni ofisini kwangu tu (kibandani kwangu ninapochakata viazi kuwa chipsi),na huko pia sikuwa naenda mara kwa mara kwa sababu kuna vijana nimewaweka wanafanya hapo mi niko na kazi zingine,

Basi alinitafuta sana bila mafanikio na ata vijana wangu pale hawakuwa wananiambia chochote kumuhusu uwenda ningepata salamu maagizo yale nami ningemtafuta nijue ana shida gani,

sasa baada ya siku kadhaa kupita binafsi nikawa naona kama napata hisia nae sikujua kwa nini(maana nilikuwa nimeshamsahau kabisa)
Kila siku zilivyozidi na hiyo hali nayo ikawa inazidi ikafikia kipindi mpaka Usiku nilalapo nikishituka lazima nimuwaze ,

Nikajiambia hapa kutakuwa na kitu nikaanza nami kumtafuta kimya kimya bila mafanikio kwa sababu sikuwa na namba yake,

Nilimtafuta sana bila
Mafanikio mpaka nikaamua kupotezea,
Sasa miezi kadhaa nayo ikapita siku nikakutana na rafiki yake akaniambia,unamkumbuka flani akamtaja jina nikamwambia ndio akasema ,
Kwa sasa ana mtoto wa kiume Umefanana nae balaa kiasi kwamba ukimwona huwezi kuuliza mara mbili,

"Moyo ulipiga paaa" Nikakumbuka zile emotion zilizokuwa zinanitokea usiku,ile kumkumbuka kumbuka basi sikuwa na neno zaidi niliulizia jina la huyo mtoto akanitajia na kwenda zake,

Nikaanza sasa kumtafuta upya ili nimuone tu huyo mtoto na nisikie neno lolote kutoka kwake aah wapi,
Nimempa namba yangu Rafiki yake ampe anipigie kagoma?

Nimejaribu kufika mpaka kwao mara kadhaa kimya kimya ili nionane nae tu nayo nimefail,
Kila juhudi ninayofanya inashindikana sijui ata Nifanyajee,

Nina miezi mitatu bado namtafutaga tu Nimuone,Roho yangu haina Amani kabisa sana sana kila nikipishana na jirani zake au watu anaofahamiana nao lazima waniambie kwamba yule ni mwanangu siwezi kukataa ata chembe,

Shida ni huyo Binti sijui nitampataje,sijui nitumie mbinu gani ili nionane nae,

Kwa masiku haya niliyoangaika ndio Nimeona dhamani yake kwangu ,Natamani ata akikubali kuonana nami nimuoe mazima ili nilee mwanangu nikiwa pamoja nae,
I love her ,i love my kid.

Nifanye nini ili nimpate mwanangu .

CC Zero IQ
 
Amkeniiii Amkeeniii Amkeeniii Zero IQ kapatikana jamaniii huukuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oyaa wana eti kitombiii nae anapenda
IMG_20200402_093629.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana yamewahi nikuta

Back
Top Bottom