Mimi ni mmoja wa wahanga wa Police brutality. Na kwa hali ilivyo sasa nchini, haswa hizi mambo za wanasiasa wa upinzani kuchukuliwa kama Majambazi, Magaidi, Majangili na kuonekana kama wao ndio tishio kwa usalama na amani ya taifa hili. Ninawaza kurekodi cover au tuseme remix ya nyimbo hizi mbili kwa lugha ya kiswahili na kwa maudhui ya yanaoendelea nchini, ujumbe uwafikie magogoni kwamba raia pia hatuwawazii yaliyo mema. Wakinipima mkojo poa tu.
Tutakimbia hadi lini mkuu
Wanasiasa wa upinzani wanachukuliwa kama wahalifu wakati wahalifu wanaishi kama akina Agent fulani.......wacha niongee kwa muzik siku sio nyingi ntatupia version zangu hapa