Nawatakieni jumatatu njema mabibi na mabwana

Amani ya bwana iwe juu yako LD, akuangazie na kukuongoza katika kila jambo

Amen Mtumishi, hope Ibada za jana zilikwenda vizuri, na hakuna kondoo aliyepotea.
 
Thanks LD kwa kweli weekend ilikuwa a blast kwa upande wangu due to the following:-

Baba mwenye nyumba aliwahi kurudi nyumbani kucheza na junior mshangao kubwa
Hakuwa amelewa
Alishiriki dinner na familia
Alienda kanisani jana for the first time this year - asante Mungu
Leo asubuhi amempeleka junior shuleni

Teamo nashukuru kwa ile thread yako nafikiri aliisoma hapa nina kazi ya ziada kutafuta ID yake.

Changes are there to be made hureeeeeeeeeeee 2011
lily flower karibu kwenye felllowship yetu ipo hapa tegeta kwa ndevu......!

njoo ufanyiwe maombi mama
 
Ubarikiwe sana mpendwa

Amen mpendwa, habari yako binafsi lakini.
Halafu acha kunitenga mi kijana mwenzio bana.
Hao wazee achana nao hao,anza kuambatana na vijana wenzako.

Hivi babu yupo wapi.
 
Sante bibie........unipitie leo twende fellowship

Habariki yake mtu mweupe, weekend yako ilikuwa nzuri kaka ee!

Haya kaka nitakupitia, tumtafute Mungu kwa bidii.
 
Lager bwana ni noma saaa nyingine mie ndo zimepungua jioni hii maana mchana nilikuwa not reachable kabisa. Asante
 
Lager bwana ni noma saaa nyingine mie ndo zimepungua jioni hii maana mchana nilikuwa not reachable kabisa. Asante

Oooh pole mwaya lakini weekend ijayo si utaonja kidogo tu, kwa afya.
Usije ukazeeka mapema.

Halafu nashukuru zaidi kwa sababu uko salama.
 
Back
Top Bottom