A Azimio la kazi Senior Member Joined Jun 7, 2023 Posts 138 Reaction score 452 Jul 25, 2023 #1 Nawashukuru sana Wana jf kwa ushauri Mlio nipatia. Asubuhi nilipost chapisho hapa kwa upendo wenu mkuu mmenipa ushauri mimi kijana mdogo na maskini. Japo Kuna baadhi walini kejeli lakn hiyo ni nature ya mwanadamu. Mungu awabariki sana wakuu zangu.
Nawashukuru sana Wana jf kwa ushauri Mlio nipatia. Asubuhi nilipost chapisho hapa kwa upendo wenu mkuu mmenipa ushauri mimi kijana mdogo na maskini. Japo Kuna baadhi walini kejeli lakn hiyo ni nature ya mwanadamu. Mungu awabariki sana wakuu zangu.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,800 Reaction score 113,358 Jul 25, 2023 #3 sawa mwalimu
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,499 Reaction score 27,784 Jul 25, 2023 #4 ... Sent using Jamii Forums mobile app
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 5,527 Reaction score 9,314 Jul 25, 2023 #5 Kila lenye kheri na barka telee.
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,449 Reaction score 5,541 Jul 25, 2023 #6 Kila la kheri katika mapambano yako mkuu
Amanikwanzaa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2023 Posts 242 Reaction score 449 Jul 25, 2023 #7 Fanya kukumbushia uzi wako kwa ufupi, kuna watu wanatoka kapa, yani hawaelewi lolote.
A Azimio la kazi Senior Member Joined Jun 7, 2023 Posts 138 Reaction score 452 Jul 25, 2023 Thread starter #8 KJ07 said: Kila la kheri katika mapambano yako mkuu Click to expand... Shukran sana chief